Mazungumzo Mafupi na Eva wa TBC: 9 December

Mazungumzo Mafupi na Eva wa TBC: 9 December

Nimefanya mahojiano mafupi na TBC kuhusu upungufu ulioko katika historia ya TANU ambako wapigania uhuru wengi historia zao hazifahamiki.

Kipindi hiki kimekusudiwa kurushwa katika Taarifa ya Habari ya leo saa moja usiku.
 
Back
Top Bottom