Mazungumzo Mafupi

Mazungumzo Mafupi

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
mazungumzo mafupi kuliko yote duniani ni pale unapokuwa chooni halafu anakuja mtu ghafla Na kufungua mlango

Mazungumzo Huwa hivi...

Wewe[emoji19]: EEEEEH

Aliefungua mlango[emoji15]: AAAAAH

MWISHO WA MAZUNGUMZO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona Hayo marefu?
mafupi ni pale unapopigiwa hodi chooni.
Huwa hivi:
Hodi?
Karibu!
Kimyaaa, mpiga hodi kasepa!
Inategemea na tukio ukiwa unaharisha mazungumzo huwa mafup zaidii;
hodi?
tra ta ta ta ta(hauitaji kujibu,tukio litajibu lenyewe)
kimyaaaa,mpiga hodi kasepa
 
sasa kuna watu wanajua kuharibu pozi lako la toilet,
anajua upo toilet yeye analeta story hapohapo, alafu anakuuliza wewee unanisikia au?
 
Dah na kule ndiko napangaga mipango yote maana hakunaga bugdha full utulivu ,yaan unaenjoy umelilux mpaka raha ..

kwahiyo ukipanga chochote lazima kiitike
Weweee hujakuta choo kinachonuka...hakyanani nakwambia utatamani 'u-shortcut' haja yako usepe.
 
mazungumzo mafupi kuliko yote duniani ni pale unapokuwa chooni halafu anakuja mtu ghafla Na kufungua mlango

Mazungumzo Huwa hivi...

Wewe[emoji19]: EEEEEH

Aliefungua mlango[emoji15]: AAAAAH

MWISHO WA MAZUNGUMZO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom