MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Lambert MENDE, aliwahi kusema haya:
View: https://x.com/JKapitene/status/1888165972340584920
Mmeuliza kama hakuna haja ya kuzungumza na kukubaliana na M23. Nimesimama hapa na niongee kwa kauli ya kipekee: Ni kwamba, miaka ya nyuma mpaka hapa tulipo, makosa yalifanyika.
Kuamini kwamba tunaweza kuwakaribisha jeshini, kundi la wahuni, wasio na uzalendo, halafu wahisi kwamba ni rahisi kihivo kuwakaribisha? Haiwezekani. Jeshi linatakiwa kuwa imara,lililoundwa na wazalendo wa kweli.
Watu hao, kuna kazi nyingine wanaweza kufanya; wanaweza kuwa wajasiliamali, wanaweza kusoma, wanaweza kulima na mengineyo. Lakini, ili uingie kwenye jeshi la kulinda taifa, kutakuwa na vigezo kwanza. Na watu wa M23, hivyo vigezo hawana, hawastahili kuwa sehemu ya jeshi la nchi.
Kwa kifupi, hakuna mazungumzo na hao watu. Vita vitakaa miaka mia,tupo tayari, lakini hatutakaa tuweke mdudu kwenye tunda la nchi. Haitakaa itokee kukalibisha maagent wa wanyama wakali ili wao ndo wawe na jukumu la kulinda usalama wetu. Hilo kosa halitokaa litokee tena. Kwa kifupi, hatutawahi kukaa meza ya mazungumzo na waharifu.
Je, aliongea yeye kama yeye,au aliongea baada ya kukaa na Boss wake! Hatma ya kauli hii ni nini!!!