Pablo: hello kaka.
robertinyo: habar gan kaka, naamin unanisikia.
pablo: nakusikia kaka.
robertinyo: mi mzima wa afya mungu anasaidia.
pablo: mi pia mzima kaka, nipe habar za uena fc.
robertinyo: tangu ulipoondoka mahutut anazidiwa.
robertinyo: babra presha presha hatimae akajitoa.
pablo: imekuwaje kaka?
robertinyo: zuwena kaka amebadilikana sana.
pablo: kawaje.
robertinyo: yaan bi zuuh wa leo sio yule wa jana.
robertinyo: juz kafungwa na vitoto vya raja hata hajitambui zuwena.
robertinyo: yaan kafungwa nje ndani wala hajitambui zuwen.
pablo: dah! Inasikitisha sana.
robertinyo: zuwena wanamuita chawote.
pablo: inatosha kaka, nikutakie siku njema.
robertinyo: sawa, japo bado naduku duku, natamani kusema...
pablo: siku nyingine kaka, nawah kibaruani.
UTHIKU MWEMA WANATHIMBA.