Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mawaziri wa nishati wanaishauri Norway kuongeza uzalishaji wa gas na mafuta ili kuziba pengo la gas na mafuta kutoka Urusi.
Bulgaria na Poland wanategemea kiasi kikubwa cha nishati kutoka Urusi. Hata hivyo hatua za kuongeza uzalishaji zinahitaji michakato, mpaka kufikia michakato hiyo labda itakua ni kwa wakati wa kipupwe.
Hii ni habari nzuri kwa uchumi wa Norway na ajira zitaongezeka sana.