Ile gas iligundulika at the wrong time.
Gesi ya mtwara ambayo hta mmakonde wa uko haimnufaishi huo uwezo wa kuusambaza ulaya Tanzagiza inautoa wapi uwezo wetu ni kuigiza bongo move na akina Juma lokole kwishney marigiaGesi ya Mtwara ingekuwa yetu ilikuwa muda wa kunufaika, lakini wapi!!!
Sasa huu ndio ulikuwa wakati muafaka wa kufaidi gesi yetu!! Vijana wa mama wanaruka na helicopter tu badala ya kuwa wabunifu!Mawaziri wa nishati wanaishauri Norway kuongeza uzalishaji wa gas na mafuta ili kuziba pengo la gas na mafuta kutoka Urusi.
Bulgaria na Poland wanategemea kiasi kikubwa cha nishati kutoka Urusi. Hata hivyo hatua za kuongeza uzalishaji zinahitaji michakato, mpaka kufikia michakato hiyo labda itakua ni kwa wakati wa kipupwe.
Hii ni habari nzuri kwa uchumi wa Norway na ajira zitaongezeka sana.
ndio ulaya wana itegemea pengine wana gema tu mda huuIle gas iligundulika at the wrong time.
Kuziba pengo la 40% si mchezo ujue?Mawaziri wa nishati wanaishauri Norway kuongeza uzalishaji wa gas na mafuta ili kuziba pengo la gas na mafuta kutoka Urusi.
Bulgaria na Poland wanategemea kiasi kikubwa cha nishati kutoka Urusi. Hata hivyo hatua za kuongeza uzalishaji zinahitaji michakato, mpaka kufikia michakato hiyo labda itakua ni kwa wakati wa kipupwe.
Hii ni habari nzuri kwa uchumi wa Norway na ajira zitaongezeka sana.
"ges yetu ipi ebow wachukuwe udongo wa makinikia wa kuachie gesi w anaumwa we utanusishwa harufu ya asali kinyeresi one "Sasa huu ndio ulikuwa wakati muafaka wa kufaidi gesi yetu!! Vijana wa mama wanaruka na helicopter tu badala ya kuwa wabunifu!
Gesi ya mtwara ambayo hta mmakonde wa uko haimnufaishi huo uwezo wa kuusambaza ulaya Tanzagiza inautoa wapi uwezo wetu ni kuigiza bongo move na akina Juma lokole kwishney marigia
wange kuwa nayo wange ongeza uzalishaji kitambo! hayo maneno ya kuongeza uzalishaji ni uhuni tu kama uhuni mwingineKuziba pengo la 40% si mchezo ujue?
Watayakamua yaishe miaka miwili na Norway nae aingie kwenye utegemezi kama wenzake acha wampe kichwa, kama reserve yake ndogo bora aitumie mwenyewe tu
Hoi nchi ni ya ajabu sana mkuu ndyo maana alitokea mwendawazimu1 uko Loliondo akawanywesha mkojo wote[emoji1787][emoji1787]Juma Lokole yupo Arusha leo kwenye uzinduzi wa royo tuwa, posho yake sasa..!!