ila mhh mi hii hali ianitokeaga sana nikiwa ibadani yaan unakuta mawazo yamehama..nikisikia amen duh nashtuka narud kwenye kusikiliza..!ila unakuta mambo mengi yameshanipita
tena mazungumzo yasiyo sikika asilimia kubwa ni negative.... matusi, kejeli, dharau, laana, masengenyo, malalamiko
N'yadikwa asante Ila kwenye hii reply yako kuna kitu kimenichekesha Sana but let me reserve my commentHayo mazungumzo yasiyosikika kupitia ndimi zetu Ndio kipimo hasa cha HEKIMA na BUSARA ambayo mwanadamu amejaliwa na MUNGU....
....Humu fb kuna makumi ya watu huandika nyuzi au comments na kisha kuzifuta hata kabla hawajazipost...
....barabarani kwa mfano mtu akikuchomekea kuna mazungumzo ya ndani ambayo huendelea Ndio maana wasiojizuia hushusha kioo na kumwaga matusi....
....mke wako au concubine usipom.t.o...mb...a vizuri ni Mara nyingi huwa na mazungumzo ya kejeli,dharau au kukuhurumia asie na simile atakuambia...
KWA HIYO bwana Mshana haya mazungumzo mi nayaita ni muhimu kwa sababu yanaipima IMANI,BUSARA,HEKIMA,SUBIRA na UTASHI wa binadamu...na humtofautisha binadamu kutoka kwa mnyama.
mshana jr, asante, kwenye kuwaza naweza kupigana kutukana kumsuta na wakati mwingine najisahau nacheka peke yang,au nasonya pia. Kikweli ni mengi zaid ya tunayosema kwa sauti.
Na kuna ile hali baada ya mabishano au maongezi fulani. Ambapo THE BEST ANSWERS au best words that you could have used in the conversation ndo zinakuja na hata majibu ya uliyekua unaongea naye utayasikia. Inafika mpaka unajilaumu kwa kutokusema hvyo
Haya pia ni mazungumzo Yasiyosikika
Hapa Naona Mada Yot Bdo Inaturudisha Kwnye Umuhmu Wa Kufanya Meditation,ndg Mshanajr Naomb Niulze Nawezaje Kuondoa Haya Madud Akilin M Nasumbuliwa Sna Na Kuwazia Vitu Vya Kutisha Yan Nikiwa Mwenyew Ama Hat Katika Ibada Nakuwa Nawazia Mambo Nilio Yaon Mfan Watu Wanao Ombewa Mapep Na Kutamka Yale Manen Hadh Nazo Sma Ama Kusimulwa Za Mamb Ya Kuogofya Zot Znakuwa Akiln Ht Kupumzka Ndan Ziwez Bila Kuwa Na Simu Labda Nasma Na Ht Nkiwa Nasma Najikut T Kuna Vit Vya Kuogopesha Bdo Vnakuja Akiln,Kuna Mda Nlikuwa Najifunza Meditation Kuptia Masom Yak Na Ya Ndgu Wengne Bt Sikufanikiwa Kwn Ile Nkiwa Kwnye Concetration State Haya Mamb Ya Kuogpesha Na Stor Nlizo Skia Na Kusma Hujitokeza ,NAOMBA USHAUR WA JINS YA KUKABILIAN NA HIL karibun na wengn kwa ushaur wnu
Upo exposed na mapepo wanasema vulnability to demons
Mazungumzo yasiyosikika ni asilimia tisini ya mazungumzo yetu yote yanayosikika kila siku katika maisha yetu.
Mazungumzo yasiyosikika ni yale tunayoongea wenyewe kwenye bongo zetu, tunapanga tunapangua tunakumbuka hili tunawaza hili yote haya kimya kimya lakini wakati huo uko unafanya jambo lingine au unasikiliza mazungumzo mengine au unaongea Mko kwenye mkusanyiko wa watu, kanisani, msikitini, kwenye kutano au kwenye chombo cha usafiri kuna wazungumzaji wachache wanaongea mnawasilikiliza kwa makini mko kimya, lakini kiuhalisia kila mmoja yuko busy akilini mwake anaongea yake.
Mazungumzo yasiyosikika ni mengi mno na kama kila mmoja angetaka kuyaongea kwa sauti inayosikika basi dunia ingejaa mwangwi mkubwa mno yani ni kama vile walokole wanaposali kwa sauti.
Kikwao inaitwa lack of concentration, wale wanaofanya meditation wanalijua vizuri hili yaani unapoanza tu kumakinika akilini inakuja live stream ya matukio, mipango na changamoto mbalimbali kichwani...unajikurupusha na kurudi kwenye umakini lakini mara yanakuja mengine.... Kuna watu hufikia kutoka jasho kwa ajili ya kupambana na hii hali
Thanks Mkuu Ngoja Nikomae Na Vyote Budha -meditation Na Maombi Asant Sana Ila Jamb La Mwsho Ningeomba Unipe Ufafanuz Kidgo Juu Ya Vulnabirity To Demons Kwa Undan Kidog Iwe Msaad Kwangu Na Wengine
Naomba niwaalike hawa ndugu Young Kibaka, neo1, witnessj, lazalaza, yang, Infoepadia, Madame B christine ibrahim atoto Preta ustadhjuma etc