Ahsante ngoja nisomeMaslahi ya kiroho kwenye matokeo tasa ya kimwili yaliyoharibika
Kila tokeo la kimwili bila kujali kama ni chanya ama hasi asili yake ni roho ama rohoni... Hakuna kitu kisicho asili na roho ama nguvu isiyoonekana.... Hata huyu Mungu mkuu anayebishaniwa kila siku uwepo wake ni kinyume cha miungu ile ya kuchonga ile inayoonekana kwa macho..... Hata haya macho...www.jamiiforums.com
Maslahi ya kiroho kwenye matokeo tasa ya kimwili yaliyoharibika
ahahha sawa mkuuMawazo na Fira zetu za kila sekunde kila dakika kila siku
na hyya mdhnmz asiyik kw siimia 100% uwa ni kweli mtupu..Mazungumzo yasiyosikika ni asilimia tisini ya mazungumzo yetu yote yanayosikika kila siku katika maisha yetu.
Mazungumzo yasiyosikika ni yale tunayoongea wenyewe kwenye bongo zetu, tunapanga tunapangua tunakumbuka hili tunawaza hili yote haya kimya kimya lakini wakati huo uko unafanya jambo lingine au unasikiliza mazungumzo mengine au unaongea Mko kwenye mkusanyiko wa watu, kanisani, msikitini, kwenye kutano au kwenye chombo cha usafiri kuna wazungumzaji wachache wanaongea mnawasilikiliza kwa makini mko kimya, lakini kiuhalisia kila mmoja yuko busy akilini mwake anaongea yake.
Mazungumzo yasiyosikika ni mengi mno na kama kila mmoja angetaka kuyaongea kwa sauti inayosikika basi dunia ingejaa mwangwi mkubwa mno yani ni kama vile walokole wanaposali kwa sauti.
Halafu mazungumzo haya nayo pia huwa yanatumia lugha, tena ile ambayo mzungumzaji husika anaifahamu. Huwezi ukayafanya mazungumzo haya tuseme kwa kichina wakati wewe hujui kichina, lazima uyafanye kwa kutumia lugha unayoifahamu.Mazungumzo yasiyosikika ni asilimia tisini ya mazungumzo yetu yote yanayosikika kila siku katika maisha yetu.
Mazungumzo yasiyosikika ni yale tunayoongea wenyewe kwenye bongo zetu, tunapanga tunapangua tunakumbuka hili tunawaza hili yote haya kimya kimya lakini wakati huo uko unafanya jambo lingine au unasikiliza mazungumzo mengine au unaongea Mko kwenye mkusanyiko wa watu, kanisani, msikitini, kwenye kutano au kwenye chombo cha usafiri kuna wazungumzaji wachache wanaongea mnawasilikiliza kwa makini mko kimya, lakini kiuhalisia kila mmoja yuko busy akilini mwake anaongea yake.
Mazungumzo yasiyosikika ni mengi mno na kama kila mmoja angetaka kuyaongea kwa sauti inayosikika basi dunia ingejaa mwangwi mkubwa mno yani ni kama vile walokole wanaposali kwa sauti.
Ana mazungumzo ya kufikirika.. Imaginations ..hata watengeneza katuni wameitoa hiyo idea hukoHalafu mazungumzo haya nayo pia huwa yanatumia lugha, tena ile ambayo mzungumzaji husika anaifahamu. Huwezi ukayafanya mazungumzo haya tuseme kwa kichina wakati wewe hujui kichina, lazima uyafanye kwa kutumia lugha unayoifahamu.
Huwa mara zote najiuliza swali. Mtoto mdogo ambaye bado hajajua lugha yoyote na hajaanza kuongea, huwa anayafanya mazungumzo haya? Na kama huwa anayafanya, huwa anayafanya kwa namna gani?
Yanafanyika kwa jinsi ya namna gani? Yaani huwa najiuliza, mtoto huwa anwaza kwa jinsi ya namna gani? Sisi huwa tunawaza kwa kuongea; na kutumia lugha tunayoijuaAna mazungumzo ya kufikirika.. Imaginations ..hata watengeneza katuni wameitoa hiyo idea huko
Imitations yale anayoyaona daily.. Cha kwanza ni mwanga cha pili ni maumbo, cha tatu ni rangi na cha nne ni sautiYanafanyika kwa jinsi ya namna gani? Yaani huwa najiuliza, mtoto huwa anwaza kwa jinsi ya namna gani? Sisi huwa tunawaza kwa kuongea; na kutumia lugha tunayoijua
Ama anakuundia kisasiUnamtukana mtu anakaa kimya, kumbe anaongea moyoni. Nafuu yule anaejibu kuliko wa moyoni.
Sent using Jamii Forums mobile app