Mazuri na mabaya ya damu group O

Pia viburi hatuambiliki na ugonjwa mkubwa unaotutesa ulcers 😹
Group O tukilibeba jambo mpk utakoma wewe.

Cha ajabu tuna huruma sana na kujitoa kwa wengine ndiomana tunawatolea damu group zote..!!
 
Umemaliza, mie sio kiburi ila nikimaindi nakuwa mtu wa ajabu sana, ulcers ninazo...
Huruma ninayo.
 
Hivi inawezekana mtoto mmoja kati ya watano akawa na kundi O huku wazazi na watoto wengine wanne wakawa na kundi la damu tofauti?
Mkuu utaratibu ni huu,,nje ya hapo unakuwa umepigwa.hii ni njia ya haraka ya ku scan kama mtoto ni wako.

Mama akiwa group fulani na baba group fulani,outcome zake zinatakiwa zirange humo kama jedwali linavyo sema..unless awe amechepuka na mwanaume ambaye tunafanana group.
Kama baba ni group O mfano na Mama ni group O..watoto wote tunategemea wawe ni group O siyo nje ya hapo.
 
Siku zote nimekuwa na moyo wa huruma na moyo wa kuwasaidia wenye uhitaji! Nimekuwa na upendo adimu sana kwa waoendwa wangu!

Sababu kuu siyo nyingine! ni hii hapa 👉 Mimi ni group O+
 
Mimi ni Group O+ nimezaliwa March.

Ni kweli huruma ipo.
Tunaupendo wa ndani usiohitaji Malipo.
Tunavumilia tunapokosewa
Tunapenda ku-share vizuri na wengine.
Wakweli na wanaosimamia jambo.

Tatizo ni pale mtu akikukosoea mara kwa Mara na akachukulia Wema wetu kama udhaifu. Tukiamua ligi ni ligi. Ngumu sana kusamehe mtu ambaye ulimpa nafasi nyingi
 
Kwenye ligi hapo, sipendi ligi sababu huwa nataka kushinda by force by fire! 😂
 
Kiasi nakuelewa ,ngoja nitafute ukimya niyatafakari haya,🙏🙏
 
Upo Sahihi mkuu!
 
Hiii mbaya mkuu aisee sio kundi zuri limekaa vibaya kiroho na mafanikio nazan pia ni kund limejaa sana kwa waafrica
 
Kama umenisema nipo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…