MB DOG: Diamond Platnumz amenidhulumu wimbo wa Mapenzi Kitu Gani

Yani diamond kweli anachukiwa na watu. Kosa sio lake yet analaumiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kisa kaandikwa alieimba ni Diamond Ila alieimba sio Diamond jamaa yupo sahihi alichokosea ni kutokumtaja YouTuber alieandika hizo details kwenye channel ya YouTube
✍️
 
Pole saana
 
Sasa mtu unajiita sijui dog, sa hapo itakuaje
Hivi anatoka mkoa gani huyo dog
 
Haya mapenzi ni kitu gani?
Muda nawaza mpaka Nimechoka
Vile Doggy mimi nina jina ,mashori wengine tu wanashoboka
Ninayempenda mimi hanipendi [emoji24][emoji24]
Ninachotaka kwake mi sipati
Kukataa penzi ana haki
Nami kumuacha moyo hautakiii [emoji24][emoji24][emoji24][emoji445][emoji445]
 
Huyu naye shida.Huo wimbo nimeusikia 2007 yeye anasema aliutunga 2008.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Yaani hapo iko hivi:

Kuna YouTuber anajiita zerokay18 ame upload wimbo wa Mapenzi kitu gani wa msanii MB Doggy hafu yeye kaandika muimbaji ni Diamond Platnumz.

Kwahiyo kwenye makosa hapo ni zerokay18 na Diamond hafaidiki kitu hapo.

Nilikuwa sijaelewa hadi nilipofikia hii comment...
 
Kwa kweli, wakati wao walikuwa wachoyo kweli kusaidia underground kama Kama Yule wa mwanza mwenye mindevu , zee zima kujigonga kwa mtoto.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…