Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetoka kuangalia The mumy....MBC 2 naona uongo umezidi nikaona huu muda ni wa kulala...Imagine mda huu Kuna 1917 movie Moja Kali sana Kisha inafatiwa na Fury
Hapa ni hadi baadae sana
Hivi yule dogo si ndio alibaki mwenyewe kwenye tanka mwishoni kabisa baada ya waffen ss kukichafua ile mbayaKabisa Fury ni movie naikubali sana na huwa inawekwa usiku sana nadhani ni matukio yake
Aisee ,umenikumbusha niitafute bonge la movie hiko kipande cha Jarumani kumuona dogo alafu akapiga kimnya umenikumbusha miaka kama 15 nyuma ,Yah Mjerumani alimuona akamsamehe nadhani kutokana na umri au Ile kusema wema wapo
Siwapendi wezi lakini ningefanya kama ulivyofanyaAisee ,umenikumbusha niitafute bonge la movie hiko kipande cha Jarumani kumuona dogo alafu akapiga kimnya umenikumbusha miaka kama 15 nyuma ,
Kitaani natembea ghafla nikaona dogo anakuja mbio kachanganyikiwa ,kumbe ni mwizi na walikua wanafukuza kimnya kimnya waue , huruma tu ya ubinadamu ikaniingia ,
Nilimuona dogo anaingia kwenye kichaka fulani huku shahidi nikiwa mimi tu ,njemba kufika ndio nikazidi kujua nia yao ni uhai walitafuta huku wakitweta haiwezekani mabata yetu kila siku yaibiwe,
Ndipo mmoja akaniuliza hujamuona dogo kavaa tisheti nyekundu hapa,
Nilikataa kata kata kabisa yani huku dogo najua kabisa alipo.
Kula movie mkuuNa bado niko likizo yani kesho ni kama weekend