Mba dodoma university.

ramase

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
241
Reaction score
49
Wadau plz naomba mnisaidie hili. Nataka kuanza kujiendeleza kwa muda wangu mwenyewe baada ya kuomba ruhusa ya masomo kutoka kwa mwajili wangu bila mafanikio. Nimeona pale UDOM kuna MBA executive, ambayo inafanyika intems ov modular bases. Unasoma three weeks then mnabreak for almost two monthes. Nimeona hii naweza kuimudu nikiwa na siku zangu za likizo za kutosha bila kuhitaji ruhusa ya ku involve full time.

Tatizo hawa hawajaweka prospector kwenye web yao mpaka sasa. Nikapiga simu kwenye department ya postgraduate prgrm ila miyeyusho tu sijapata jibu la maana.
Naomba kujua kwa anae fahamu hii program ina rust for how long mpaka kumaliza? Pia kama inaspecialization eg finance, accounts etc. Au ni general.....
Au kama pia kuna mtu ana contents za hii program kwa pale udom yaani courses anijuze plz. Naomba kujua.
 
mkuu kama wenyewe wameshindwa kukupa majibu sahihi sidhani kama hapaa utapata, wayeyushaji hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…