MBA Finance

MBA Finance

keynessian

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
590
Reaction score
419
Mtu mwenye MBA-FINACE anaanza na 'level' gani katika mitihani ya bodi ya uhasibu NBAA?

Naomba ufafanuzi.
 
MBA hamna anaeitambua kwenye NBAA wakikupendelea watakupa exempt ya level ya kwanza lakini ni irrelevant na chartered certified accountant, otherwise kama una Degree ya account kutoka vyuo vinavyotambulika na Nbaa,
 
mtu mwenye mba-finace anaanza na 'level' gani katika mitihani ya bodi ya uhasibu nbaa?

Naomba ufafanuzi.

mba in finance or accounting is not considered by nbaa.what nbaa consider is the course you studied at undergraduate level. Km degree yako ilikuwa ya accounting then utaanzia module "e" but km hukuwa na degree au advanced diploma ya accounting then utanzia chini kabisa
 
Kama huna Bachelor ya Accounting ndugu hata kama una hiyo MBA yako ya fince utaanza module B tu ndugu.
 
Back
Top Bottom