MBA grading scale

Graca

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
471
Reaction score
152
helo wakuu...

kwa mwenye ufahamu wa gradimg za udsm anifafanulie maana kwenye mfumu wa matokeo wa chuo unanichanganya. mfano mtu umepata C unawekewa PASS wakati prospectus inaonyesha ni fail..

msaada wadau.
 
Hio ni system failure ya ARIS. Mwisho wa siku C ni Fail. Muulize swali hili Dr. Mbamba (Dean) na atakupa ufafanuzi zaidi.
 
Jiandae na mechi za mtoano mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…