MBA in Finance, Marketing, Human Resources Management, Transport and Logistics Management

MBA in Finance, Marketing, Human Resources Management, Transport and Logistics Management

Retreat

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
229
Reaction score
72
Wadau, habari zenu.

Jamani kati ya hizo hapo option za MBA, ipi ipo hot mtu akiamua kuopt? Natakiwa kuchagua among those option.

Sina Background ya chochote kati ya hicho, ila nafanya MBA, na sasa muda wa kuchagua umefika, kwangu mimi nataka hot cake option kwa mazingira ya Tanzania, msaada wenu katika kuchambua hizo kozi utapokelewa na kufanyiwa kazi.

Thanx in advanced
 
Chagua marketing management kama unahishi tanzania. Kumbuka ukisha opt management LAZIMA utapata course ha HR. hiyo ya transport and logistic bado hatujafika... ukipata kazi inayo hitaji hizo skills utafanya training ila kwa kufanyia masters sioni...
MArketing inakufunza kuuza na ndio tunavyo ishi wote. hata wanasiasa wanatakiwa kuuza siasa yao, sio?
 
RussianRoulette, nimekusoma mdau ila sijakuelewa nichague Management ipi sasa? Hapo kuna hizi options

1. Finance
2.Marketing
3.Human Resources Management
4. Transport and Logistics Management

So which is which hapo RussianRoulette?
 
wewe utakuwa umeingia MBA bila malengo, yaani mpaka sasa hujajua unachoitaji kusoma? wewe unafuata mkubo
 
Sorry, nilimaanisha MArketing na ndio niliitetea pale chini. Marketing mkuu
 
Wadau, habari zenu.

Jamani kati ya hizo hapo option za MBA, ipi ipo hot mtu akiamua kuopt? Natakiwa kuchagua among those option.

Sina Background ya chochote kati ya hicho, ila nafanya MBA, na sasa muda wa kuchagua umefika, kwangu mimi nataka hot cake option kwa mazingira ya Tanzania, msaada wenu katika kuchambua hizo kozi utapokelewa na kufanyiwa kazi.

Thanx in advanced

Unasoma shahada ya pili ili uweze kuajiriwa na siyo kuajiri?
 
"wewe utakuwa umeingia MBA bila malengo, yaani mpaka sasa hujajua unachoitaji kusoma? wewe unafuata mkubo" Hayo ni mawazo yako tu JeyKey, ila mimi kama mimi nilipoingia MBA nilikuwa nini natafuta, kuuliza kipi ni-opt sioni kama ni kukurupuka ila ni kupata views za watu wengi. Labda hujui tu kuwa Tz hatuna advisers wa kukupa mwanga nini ufanye katika masoma yako na kipi ni hot kwa soko la TZ kwa kipindi husika.

Anyway, mimi Undergaraduate nilifanya IT, na niligraduate 2007 nina kazi ila sio ya IT. Mpaka hapo lazima utakuwa umepata picha, kwamba sio tu kusoma ishu ni una soma nini kwa mazingira ya TZ? Ishu nyingine sio kwa ajiri ya kuajiriwa. Mara ya kwanza nilikuwa nafikiria kufanya Marketing ili kuunganisha ujuzi wa IT & Marketing, lakini kuna watu wamenishauri nifanye Finance, then baadaye nifanye CISA au CPA kama nitaweza na hapo ndipo nilipoamua kuja huku.

I hope umenisoma.

wewe utakuwa umeingia MBA bila malengo, yaani mpaka sasa hujajua unachoitaji kusoma? wewe unafuata mkubo

uwe unafanya hivi ukija jukwaa hili, yale mambo yetu tutakutana kule kule. Nilitaka nimwandikie kama ulivyoandika
 
Back
Top Bottom