RussianRoulette, nimekusoma mdau ila sijakuelewa nichague Management ipi sasa? Hapo kuna hizi options
1. Finance
2.Marketing
3.Human Resources Management
4. Transport and Logistics Management
So which is which hapo RussianRoulette?
Sorry, nilimaanisha MArketing na ndio niliitetea pale chini. Marketing mkuuRussianRoulette, nimekusoma mdau ila sijakuelewa nichague Management ipi sasa? Hapo kuna hizi options
1. Finance
2.Marketing
3.Human Resources Management
4. Transport and Logistics Management
So which is which hapo RussianRoulette?
Wadau, habari zenu.
Jamani kati ya hizo hapo option za MBA, ipi ipo hot mtu akiamua kuopt? Natakiwa kuchagua among those option.
Sina Background ya chochote kati ya hicho, ila nafanya MBA, na sasa muda wa kuchagua umefika, kwangu mimi nataka hot cake option kwa mazingira ya Tanzania, msaada wenu katika kuchambua hizo kozi utapokelewa na kufanyiwa kazi.
Thanx in advanced
wewe utakuwa umeingia MBA bila malengo, yaani mpaka sasa hujajua unachoitaji kusoma? wewe unafuata mkubo