Financial Freedom JF-Expert Member Joined Nov 14, 2016 Posts 1,246 Reaction score 2,299 Aug 3, 2021 #1 Habari wadau wa Elimu, Nipo njiapanda kuchagua kati ya hizo Masters mbili tajwa hapo juu lengo nifanye ACCA na CPA(T) baadae. Napokea mawazo na ushauri kutoka kwenu wakuu.Karibuni
Habari wadau wa Elimu, Nipo njiapanda kuchagua kati ya hizo Masters mbili tajwa hapo juu lengo nifanye ACCA na CPA(T) baadae. Napokea mawazo na ushauri kutoka kwenu wakuu.Karibuni
Mbassa jr JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 1,234 Reaction score 3,213 Aug 4, 2021 #2 Ningekushauri ukaanza na ACCA au CPA kwa pamoja then baadae uje ufanye Masters,utakuwa compitent na professional kwnye accounting.
Ningekushauri ukaanza na ACCA au CPA kwa pamoja then baadae uje ufanye Masters,utakuwa compitent na professional kwnye accounting.
Financial Freedom JF-Expert Member Joined Nov 14, 2016 Posts 1,246 Reaction score 2,299 Aug 4, 2021 Thread starter #3 Mbassa jr said: Ningekushauri ukaanza na ACCA au CPA kwa pamoja then baadae uje ufanye Masters,utakuwa compitent na professional kwnye accounting. Click to expand... Ahsante kwa ushauri upande wa masters ipi kati ya hizo mbili tajwa hapo juu itanifanya niwe competent
Mbassa jr said: Ningekushauri ukaanza na ACCA au CPA kwa pamoja then baadae uje ufanye Masters,utakuwa compitent na professional kwnye accounting. Click to expand... Ahsante kwa ushauri upande wa masters ipi kati ya hizo mbili tajwa hapo juu itanifanya niwe competent
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Aug 4, 2021 #4 Financial Freedom said: Ahsante kwa ushauri upande wa masters ipi kati ya hizo mbili tajwa hapo juu itanifanya niwe competent Click to expand... Kitacho kufanya uwe compitent sio Masters ni wewe, juhudi zako na akili yako! Sina uzoefu na mambo ya fedha ila hiyo ya Accounting naona iko vizuri. Pia fwata ushauri ulio pewa hapo juu, technically mpaka sasa wewe sio mhasibu (hata kama una degree ya uhasibu)!! Ni vyema uka pata CPA au ACCA kwanza ili ujulikane kama mhasibu ndio masters ifwate.
Financial Freedom said: Ahsante kwa ushauri upande wa masters ipi kati ya hizo mbili tajwa hapo juu itanifanya niwe competent Click to expand... Kitacho kufanya uwe compitent sio Masters ni wewe, juhudi zako na akili yako! Sina uzoefu na mambo ya fedha ila hiyo ya Accounting naona iko vizuri. Pia fwata ushauri ulio pewa hapo juu, technically mpaka sasa wewe sio mhasibu (hata kama una degree ya uhasibu)!! Ni vyema uka pata CPA au ACCA kwanza ili ujulikane kama mhasibu ndio masters ifwate.