Mba in finance vs Msc in finance!

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
189
WanaJf,naomba kujuzwa,ipi yenye future nzuri kati ya hizo masters mbili kwa vyuo vyetu vya tz?
 
mba in finance kaka coz ina management ndan yake na inakupatia nafasi nzuri ya kuha kuwa CEO wa kampuni. Ni tofaut na msc in finance ambayo inakosa mgt which is a key to any manager
 
mba in finance kaka coz ina management ndan yake na inakupatia nafasi nzuri ya kuha kuwa CEO wa kampuni. Ni tofaut na msc in finance ambayo inakosa mgt which is a key to any manager

Thank you,nimekuelewa...vp chuo kipi kiko poa ktk mba ya finance hapa bongo,nafahamu udsm wanayo na saut...
 
WanaJf,naomba kujuzwa,ipi yenye future nzuri kati ya hizo masters mbili kwa vyuo vyetu vya tz?
MBA program ina lengo la kuwaandaa managers hivyo utasoma disciplines nyingi bila kuingia ndani sana (e.g. human resource kidogo, marketing kodogo, accounting and finance kiasi, operations mgt kidogo, management kidogo etc) lakini Master of science (Msc) lengo lake ni kuandaa mtaalamu aliyebobea kwa katika fani husika. Hivyo kama ni finance 85% - 90% ya program itakuwa ni masomo ya finance tu na utayasoma kwa undani. So inategemea wewe lengo lako la kusoma ni lipi.
 
Yeap,kwenye programmes za mba,unaweza focus ktk finance,accounting,it,etc...

I think, when you focus on a specific subject ie;marketing,finance....etc . Then that is Msc in finance, there's no such a thing as MBA finance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…