Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,311
pole sana me sio doctor ila kikubwa ni kuangalia material ya nguo unazovaa,ziwe za cotton zaidi pia uzingatie usafi. hii tatizo ya mba huwa inatabia ya kujirudia sana so beta uende hosp upative dawa na umalize dose.
i heard KETOCONAZOLE ni nzuri ila pia pia utumie na topical cream eg QUADRIDERM(am not sure na spelling)
Kuwa muangalifu juu ya dawa unazotumia, Hilo Eneo ni sensitive na Madhara ya dawa hayeshi upesi.
onana na specialist wa ngozi, ukiona hakusaidii onana na urologist.
thanx little malaika,hapo kwenye material za pant ntaifanyia kazi.nimenote dawa ulizonishauri.usafi kwangu ni othentic,nanyoa mara kwa mara,pia pants nabadilisha na ku iron daily.thanks little angel.
Bwana asikudanganye mtu tumia sabuni ya PROTEX (Medicated soap ganda jekundu/orange) sikumbuki bei na hisi ni 1,000/ nimetumia Hydrocotyson zote pia nunua kufuli za ndani ziwe za pamba, achana na hizi za wamachinga za 500/ ukiwa nyumbani vaa bukta pana ili iingize hewa kukauke kwani huwa kuna joto kali.
penda kutumia sabuni hiyo hata km ulioga masaa yaliyopita isilibe kama unapakaa mafuta ya mgando kuzunguka kwenye mabarango / vidonda hivyo baada ya kuilowanisha'baada ya wiki tukutani hapahapa tupate jb kwani mm sio Dr na nilishaitoa hiyo thread sikujibiwa ila nilikutana na walionitonya
yo welcome.pia usisahau kwenda kufanya culture ili wakupe dawa specific.
Umetupiwa jini ukurutu. Nitumie laki kwa m pesa nikutoe jini hilo la subiani