Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 283
Unafikiri hiki chuo unakuja kuchukua digrii au masters? Digrii inatafutwa hapa sio vyuo vile vya Arusha
MKUU hapa kuna walakini aiseee!"!! huyo lecturer ni kilazaaa
Huyo ni ---- fulani mzanzibari anaitwa cartoum anachafua chuo mtu mwenyewe yupo shalo kinoma kuna mdogo wangu kasoma hapo wamemgomea hata hizo sup hawajafanya kesi ipo kwa mkuu wa chuo
Atakuwa na maslahi, kutunga na kusahisha sup lazma anapiga hela....
Na external wanapitisha tu.ujinga huo???!!
Kama ni Mzanzibar atakuwa ni wa QM, alitokea UDSM (FCM - Sasa UDBS), Sisi alitusumbua sana kwenye MBA (UDSM/UDBS) - 2003. Watu wengi walikamatwa QM.
chuo kufelisha watu ndio kinakua na sifa????????hii nihoja dhaifu sana sijawahi kusikia,hii ni mentality ya kusoma hapa bongo,kufanya mtihani mgumu ndo unadhani uko fiti,km ndio hivo tanzania yungekua tuna wataalam au wavumbuzi wengi sana,hujasikia wenzako havard,mtu akifeli sana anapata a na akifaulu sana anapata a,hakuna anaefeli hata awe kilaza vipi lkn ndio chuo bora duniani,saa chako cha mitihani migumu na sap za kutosha ni cha ngap??????at least chuo kinaanza kuwa na sifa stahik sasa maana mlikuwa mnasema cha kata