Habari zenu wadau,
Tatizo langu ni kuwa na mba wanaojirudia rudia,nikitumia dawa wanaisa na baada ya mda mchache wananirudia tena.
nimewahi kutumia dawa za vidonge (sijui zinaitwaje kitaalam),dawa ya kupaka (ya tube pia ya maji)
pia nimeshawahi kupima ngozi na magonjwa ya zinaa, niko salama kwa hilo.
wataalam, naomba mnisaidie kwani sasa wamekuja kwa hari na nguvu mpya hadi kichwani.(mwili mzima)
nawasilisha