Mbaazi za nazi

Mbaazi za nazi

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
jamani eh anayejua mapishi ya mbaazi za nazi zinakuwa kama keki vile maarufu sana mitaa ya Kariakoo na magomeni unafungiwa kwenye karatasi ,unaweza kusafiri nazo hadi hata Mbeya ni nzuri sana kulia vyapati,
 
mbaazi za nazi nadhani sijatia mdomono kama miaka 15 wapi nawezapata?
 
mbaazi za nazi nadhani sijatia mdomono kama miaka 15 wapi nawezapata?
Uende Kariakoo mitaa ya asubuhi sana ndo akina mama wanauza na chapati,kaka si mchezo mbaazi za nazi,unaweza safiri nazo hadi Ngara huku ukiburudika taratiiiiibu
 
Back
Top Bottom