jamani eh anayejua mapishi ya mbaazi za nazi zinakuwa kama keki vile maarufu sana mitaa ya Kariakoo na magomeni unafungiwa kwenye karatasi ,unaweza kusafiri nazo hadi hata Mbeya ni nzuri sana kulia vyapati,
Uende Kariakoo mitaa ya asubuhi sana ndo akina mama wanauza na chapati,kaka si mchezo mbaazi za nazi,unaweza safiri nazo hadi Ngara huku ukiburudika taratiiiiibu