Mbabe Gattuso!

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380

Heated: Milan's Gennaro Gattuso and Tottenham assistant manager Joe Jordan go toe to toe as tensions rise at San Siro Photo: REUTERS
 
huyu dogo akienda Uingereza kwenye game ya marudiano waingereza wanaweza kumchapa kwani kitendo alichofanya jana ni cha aibu na sio cha kusifiwa!
 
waingereza wajeuri na wana midomo michafu sana.. yaani kwanza kakosea mi ningempiga NGETA kabisa huyo assistant coach
 
Hana adabu,

Nadhani UEFA hawatamwacha hivi hivi!
 
Hana adabu,

Nadhani UEFA hawatamwacha hivi hivi!

nadhani pia kuna maneno Joe Jordan alisema kusababisha Gattuso kureact namna ile.... i like the fighting spirit of the man Gattuso!!!:clap2::clap2:
 
Unajua the way alivyomkaba jamaa mpaka unamwonea huruma, this' inhuman!
 
Unajua the way alivyomkaba jamaa mpaka unamwonea huruma, this' inhuman!

mi ndo maana naona angemtwanga tu kabali kama zile tunazopigwa mwananyamala tukiporwa simu
 
Unajua the way alivyomkaba jamaa mpaka unamwonea huruma, this' inhuman!

hahaha matokeo nayo yalichangia kuleta tafrani.... ila Gattuso ndio alivyo kama uliangalia ni yeye aliyeamsha washabiki na uchezaji wa Milan kipindi cha pili, mhamasishaji mzuri sana...i like the guy bana....
 
wakurupukaji watakurupuka na kumlaumu Gattuso...lakini wabongo ifike wakati sasa msipende kutoa maamuzi kabla ya kuchunguza tukio kamili.
kama tukitulia na kuchunguza kwa nini Gattuso aliamua kuchukua uamuzi ule wa kumkwida yule Mbuda na hata baada ya mechi kwisha still alimfuata basi kuna uwezekano yule Mzee alikuwa kaongea maneno makali.

tuchunguze...
 
huyu dogo akienda Uingereza kwenye game ya marudiano waingereza wanaweza kumchapa kwani kitendo alichofanya jana ni cha aibu na sio cha kusifiwa!

waingereza hawataweza kuthubutu kumchapa GATTUSO.
Waingereza ni kama wewe ambaye unabwatuka hapahapa JF tu but nikikwambia uje mahali nilipo tuzipange utaingia chaka...

Chunguza upate jibu je Gattuso aliambiwa nini mpk akachukua uamuzi ule...
Hv vitu si vya kukurupuka kama unakuwa huna unalolijuwa
 
i hate italian teams and players!

Huwalishi wala huwavishi.
So hata ukiwachukia ni sawa na kulichukia Jua tu...litakuchoma utake usitake.

We wachukie CCM wanaokupa maisha magumu kila kukicha.
 
i guess hatutojua Gattuso na Jordan waliambiana nini.....
 
Gatusso alichokifanya hakiwezi kuelezeka kwa mchezaji na ndiyo maana hata mwenyewe anakiri kuwa alichemsha.

Pamoja na kuambiwa haya maneno, waligomana na akaendelea kucheza. Mechi imekwisha, jamaa akamrudia tena.

Hebu angalia hii Video na useme kama kweli hii ni hasira au kituko.......

 
Last edited by a moderator:
Nafikiri ukiweka mbali hilo la jana Gattuso ana tatizo la hasira za hapa na pale na ana ukatili fulani,but i also like him!!!
 
Nafikiri Gatusso atakuwa amechangia hata Ronadinho kuondoka AC Millan.

Ukiangalia hii Video, utagundua kuwa walikuwa hawapikiki kabisa maana jamaa alikuwa hampendi kijana wa Samba.

Hizi ngumi na mateke, sidhani kocha au uongozi hawakuuona. Ila kama ni kuchagua, wamechagua Gatusso.

Ama kweli mcheza kwao hutuzwa. Kwa tabia za Italiano, kama PM (ambaye ndiye mwenye timu) kama Gatusso.

 
Last edited by a moderator:
Jamaa mwenyewe mzee, busara hana,. Ndo maana hizi timu za italy haziwezi kusonga mbele hasa kwasababu ya umri wa wachezaji. Gatusso huwa hashirikishi ubongo. Ngoja tuubiri adhabu ya uefa ndo atajua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…