Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Holy Man achana na Audi ya nini?

Chukua F30 ya 2013 tu. Hafu uzuri wa F series zote ni turbo, huna haja ya kuchukua cc3000 maana Wajerumani washafanya yao, cc2000 tu mziki wake hauguswi na mjapan wa cc3500.

Mfano, 2013 BMW F30 320 N20 yenye cyl 4 inakutosha kabisa.

Ila Miraba apo kasema kama unataka 6 cyl hapo ni N55, S55 au 58 zote izo 3000cc petroleum.

Ndani F30 ni kama cockpit ya Lockheed Martin F22 Raptor.
 
Haipinduki

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Aiseee 5 series anzia F10 ambazo zimeanzia mwaka 2010...

E60 ina malamiko mengi kuanzia kwenye performance mpaka usalama.

Matoleo ya nyuma ya 5 series kama E34 sijajua yanaperform vipi.
Lenyewe halina mavimulimuli likianza kutoa maalama sijui kama kuna fundi wa kuyatoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo taa ya abs kesho ya oil
 
Yes Option ya BMW ndio ataipata kwa haraka na atakuwa na machaguo mengi....

Tofauti na Audi... Maana Audi chaguo limekuja moja af zimekuwa Adimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…