Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Porsche sijawai zifatilia hizi gari kabisa, ingawa nasikia mziki wake sio wa kitoto
BMW inapoishia, Porsche ndo anapoanzia.

Excellent build quality, the most reliable german car ao far.

Porsche Cayenne Turbo GT

Porsche 911 Turbo S

Hao ni bad news kwenye segment zao. Hakuna anaewakaribia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo speed kwa barabara zetu za Bongo na uendeshaji wetu usiozingatia sheria ni sawa na Kubeep kifo tu!
Ufike hiyo speed ukiwa na gari za japan ndo unabip kifo.

Ukiwa na german cars huoni hata umeshafika huko. Gari inakuwa stable, inashika barabara.

Ukigusa kidogo speed ishafika 220 to 240 kph.

Ila usijaribu na hizi gari za macho madogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nitarudia kusema ambacho niliwahi kusema humu ndani.
It doesn't matter what's under the hood. The only thing that matters is who is behind the wheel.

Kwa barabara za bongo njoo na gari yoyote unayoijua wewe mimi nipe gari ya kijapan yoyote ya engine ya v6, ukinishinda utakua umenishinda kwenye udereva, sio uwezo wa gari. Na kwenye mia, watanishinda wawili.

Barabara zetu bongo haziexhaust potential ya gari. Hakuna barabara yenye kukupa full potential ya gari kwa dk 2 mfululizo.

Zote zinaishia kua average. Hayo ma Fuga, VW, BM hakuna anaye exhaust potential yake full hapa bongo. Inabaki kua title tuu

Wenzetu wana highways ambazo ni marufuku kutembea chini ya 80, yani ukishika hiyo lane, ni nduki baya. Hapo ndo utaenjoy gari yenye uwezo mkubwa.

Hapa kwetu, kumejaa hamps, bumps, vivuko vya walemavu, rasta, mashimo, askari, wapi utatembea 260 kwa dk 2 mfululizo? Utakachowin ni kuaccelerate kwa haraka kuifikia speed flan. Hapo tutashindana udereva, sio uwezo wa gari
 
Kwa hiyo ukipewa Toyota crown mwingine ana Audi A8 quadro utashinda Tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo ukipewa Toyota crown mwingine ana Audi A8 quadro utashinda Tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni barabara za bongo, zisifungwe (watumiaji wengine wa barabara waendelee na shuhuli zao kama kawaida), yaani isiwe racing. Tutoke kituo A kwenda B, mathalan dar to singida. Ukija na audi yako ukafika singida kabla yangu nitarudi dar kwa mguu huku nikichapwa viboko 20 kila baada ya km 50

Ila kama ni racing, siwezi tia mguu maana road zitakua closed, gari yenye uwezo mkubwa itaexhaust potential yake fully, huwezi pambanisha hapo.

Nakukaribisha uje na hiyo Audi, mimi kunipa crown umeenda mbali sana, nitakua na brevis au mark x. Nikikukuta umefika Singida kabla yangu nitakupa hiyo brevis/mark x uivute mpaka dar, iwe yako.
 
Nafikiri ni Teknolojia zinazotumika, pia wanapambana na udhibiti wa uharibifu wa mazingira. Ndio maana hata toyota nae akaja na VVT-i
Pa1 mkuu,ila vvt-i ya toyota ya cc 3000 bado ulaji wake unakua mkubwa kwa europe car ya cc 3000,toyota tunazpenda ila zinatunyoosha sana kwenye upande wa wese,toyota ukitaka economy basi ujilipue na vibaby walker
 
Pa1 mkuu,ila vvt-i ya toyota ya cc 3000 bado ulaji wake unakua mkubwa kwa europe car ya cc 3000,toyota tunazpenda ila zinatunyoosha sana kwenye upande wa wese,toyota ukitaka economy basi ujilipue na vibaby walker
ipo mifumo mingi mkuu, kadri wanavyo develop ulaji wa wese unapungua.. gari zisizokula sana wese hybrid ila hizi kavu kavu naona haziachani sana, naona kuna VANOS, VITEC, n..k kila moja ina ufanisi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…