Mbabe wa Dunia wa Mieleka kupigwa dakika 1 na Sec 25 Ni Haki?

kmbe unaelewa eeeh sema fujo nyng
 
Mm nikaja fasta nikijua Trump karud ulingoni kumbe ndo uyo nan sijui
 
kia kitu kimepangwa for ur entertainment. ndo maana hatubet mieleka
 
Hivi kumbe kuna watu wazima huwa wanaangalia hii mieleka ya kuigiza?
 
Yani kama mtu umeanza kufatilia mieleka tangu sijui 88 au 98 na hadi leo bado unabisha ukiambiwa kuwa ule mchezo ni scripted pamoja na source zote hizi za kufatilia mambo leo hakika wewe ni zaidi ya kilaza, kwa Zamani unaweza kuwa unabisha kienyeji kwa sababu vyanzo vya habari vingi havimuwepo ila sio leo, na ule mchezo kuwa kuigiza haina maana kwamba usiangalie hapana wale wote wanaojaa uwanjani wanajua kuwa ile issue ni entertainment ila tatizo wanakuwa hawajui tu ni nani amepangwa kuibuka na ushindi

Kuna video YouTube zinaonesha wapiganaji wenyewe wakihojiwa na kukili kuwa ile ni script, kama kuna kipindi leasner sijui kama nimepatia jina, alihojiwa bbc kwanini ameacha kupigana MMC akasema ule mchezo ni mgumu bora arudi WWE kwakuwa kule its all about fixing, scripts pia kuna watu kama the rock ameshawahi kukili, pia kuna the punk

Huu mchezo ni sawa na wale wanaongalia tamthilia kila jumamosi yuko razi asifanye kazi yoyote akae aangalie maigizo na mtu hadi analia kabisa kwa zile feeling japokuwa anajua ni uwongo, vivo hivo kwa mieleka so hawa wa tamthilia nawao wangekuwa wanaweza kuigiza live kwenye uwanja still watu wangeenda kuangalia kwakuwa hawajui nini kitatokea

Issue ya kuumia, cjui kufa na nk zile ni ajali kazini tu waga inatokea bahati mbaya kwani ata kwenye uandaaji wa movies kina jackchain washavunjika sana mikono, van dame ile nundu yake ya usoni hadi leo aliipata wakati anaigiza, kuna jamaa wengine walishawahi kufa kabisa wakati wanaigiza so kuumia mtu kwenye mieleka ni ajari tu ambazo zinaweza tokea sehemu yoyote
 
Punguza ushamba wewe
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Goldberg vs. Brock Lesnar was always an extremely interesting situation heading into WWE Survivor Series because one of the two WWE Superstars had to take a huge loss in the match. Most people were expecting a match of biblical proportions as two of WWE’s biggest heavyweights of all time went to war to cement their place on top of the WWE ladder and the food chain. However, that is not what happened on Sunday night.

Heading into WWE Survivor Series, it didn’t seem that either man would win their match decisively. From the logic of booking, a dominant victory for Lesnar would have permanently ended Goldberg’s WWE career and made the WWE Universe wonder why he was brought back just to lose to Lesnar. On the other hand, a decisive victory for Goldberg would significantly hurt Brock’s momentum as WWE’s unstoppable force.

WWE officials had to make a decision that was going to be criticized no matter what, so they decided to go with the most shocking and possibly Earth-shattering result. Last night at WWE Survivor Series, Goldberg dominated and defeated Brock Lesnar in the upset of the year. It only took two Spears, one Jackhammer, and roughly a minute of match time for Goldberg to give Lesnar his first completely clean loss since 2013.

Obviously, there were a lot of immediate reactions and opinions about Goldberg defeating Brock in such a dominant way, especially since it was reported that WWE officials were planning to give Brock Lesnar the win over Goldberg last night. Many WWE fans are pleasantly surprised that Goldberg won the match and that Brock Lesnar finally put someone over after being booked so strongly on WWE programming for years.

However, some WWE fans are appalled by the result and even went as far as to call it a “disgrace.” WWE knew that many people wouldn’t be happy, but the entire fanbase is talking about the result, which is the most important thing. Not only that, but everyone wants to know what’s next for both Goldberg and Lesnar. There isn’t a lot of news, but Goldberg is apparently signed for the WWE Royal Rumble PPV in January.

Goldberg vs. Brock Lesnar was expected to be a one-time thing, but now the former will be returning to WWE television for WWE Royal Rumble as well. Obviously, WWE officials have a long-term plan after last night, or they wouldn’t have booked such an extreme finish. Goldberg’s role in WWE is set to continue, but it is being reported that WWE booked Goldberg vs. Lesnar the way they did last night for a specific reason.

According to a new report WWE officials wanting Goldberg to look strong for his upcoming appearance at the WWE Royal Rumble PPV in January was a big reason for his victory. Another reason why WWE booked Goldberg to go over so strongly in a short match is the “tweaked shoulder” he suffered on Raw last week was bad enough that it prohibited him from working a longer match with Lesnar at WWE Survivor Series.

Because of that, the decision was made for Goldberg to win the match early, but it wasn’t out of character for a performer who made his name by defeating his opponents quickly. WWE also had some major concerns about the Toronto crowd turning against Goldberg in the main event, so booking a quick match with a few big moves also didn’t give the crowd the chance to take over the situation.

Just before WWE Survivor Series, Goldberg revealed that he was back in WWE to “kill” Brock Lesnar, What WWE officials do next is going to be very interesting because the WWE Universe will be expecting a rematch between Goldberg and Lesnar, so they’ll probably reveal their plans tonight on Raw, or sometime very soon.
 
Mkuu Miaka hairejei Nyuma 2007? au Unatumia Time Machine? kuchange History!
Hahahaha,hapo nimekosea uandiashi nilimaanisha plan ya wwe ni kutengeneza rematch kati ya Brock na Goldberg mwakani 2017 kwenye event ya wrestlemania.mara ya kwanza Goldberg alikuja kwa akili ya mechi moja tu hiyo ya survivor series but mbeleni akakubali kuongeza muda zaidi dat y Goldberg alishinda kwa kishindo vile,ili hii storyline ije iendelee mpaka wrestlemania.
 
Yes yes yupo wap Yule jamaa
 
Mkuu naona umekuja na Maoni ya Mhariri... Good Try
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…