Mbabe wa simu: Jinsi ya ku lock Nokia

Mbabe wa simu: Jinsi ya ku lock Nokia

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Wakuu mi utata wangu wote hapa nimekwama.

Nani mtata wa kulock hii simu.
Yaan una lock screen mtu akitaka kuitumia aingize password
 

Attachments

  • 237E76ED-C895-4E52-A912-189A6B60A790.jpeg
    237E76ED-C895-4E52-A912-189A6B60A790.jpeg
    457.9 KB · Views: 8
Wakuu mi utata wangu wote hapa nimekwama.

Nani mtata wa kulock hii simu.
Yaan una lock screen mtu akitaka kuitumia aingize password
Settings, privacy/security settings, phone lock, keypad lock on/off

Najaribu kukumbuka tu njia ya kupita. Ningekuelekeza kama ningekuwa na simu hiyo kwa muda huu.
 
Wakuu mi utata wangu wote hapa nimekwama.

Nani mtata wa kulock hii simu.
Yaan una lock screen mtu akitaka kuitumia aingize password
Nikajua unazungumzia Nokia mfano 2300 e51 nk, unazungumzia simu ambazo zipo ktk tools za ovyo ovyo Nokia 105 za ovyo tu njoo ata ktk E73 nitakuelewa?
 
Nenda Setting kisha Phone Settings kisha Key guard Setting kisha Key guard codes.
wanaleta security code

Sasa security code za nokia nazitoa wap
 

Attachments

  • 4EAFACF6-F6AF-47AB-BFA9-8C34841E469F.jpeg
    4EAFACF6-F6AF-47AB-BFA9-8C34841E469F.jpeg
    311.9 KB · Views: 4
Jana nimetoka kuhangaika na hiki kidude nkaishia kutia PIN line yangu😅😅 nimekirudisha kwenye droo USALAMA WAKE NI MDAGO KWA SISI WAHARIBIFU.
 
Back
Top Bottom