mbabe wa wababe simu wa 2016/2017

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
hapa nakuletea mbabe wa wababe nchini Tanzania kwenye msimu huu unaoisha, kumbuka kuwa namba hazidanganyi... angalia hapa,

1.Simba imefika fainali zote muhimu kuanzia ile ya mapinduzi hadi FA..
2. Simba imechezwa pungufu uwanjani na ikatoa dozi..
3.Simba ina wachezaji wengi timu ya taifa kuliko timu yoyote
4.Simba ndio timu ilivyovuna pesa nyingi kutoka kwa wadhamini wa mashindano mpaka sasa, milioni 42+50=92 cash!!
5.Simba ina wachezaji wanaojua namna ya kufunga magoli, yaani sio kufunga tu ili mradi hapa namaanisha goli bora la msimu limetoka huku, bado kuna kona iliyowahi kuingia yenyewe..
6.Simba haijawahi kufungwa na yanga katika msimu huu katika mashindano yoyote yale (hata haya ya sportpesa super cup yanayokuja)

hayo yote ni tisa.. kubwa kuliko yote ni ..

Simba haijawahi kufungwa na mbao FC...!!!

huyo ndie mbabe wa wababe kwa msimu huu...njoo kwa data
 
eti promo.. kwani nani kapigwa mara mbili na ubao, kati ya simba na yanga?
Hata kama ni yanga, ila simba baada ya kubeba ndoo ya ASFC mna mbwembwe kweli, msingeibeba huu uzi nadhani usingeandika
 
kwani wewe unamzungumzia yanga au refa fc
 
Kwan kufungwa na mbao ndo manake nn,..afu nani kakwambia tunashida na pesa,we kombe LA VPL Limekuuma sana,unakua kama mwanamke Malaya bana,
 
Umesahau mambo 2 mkuu, Simba ndio timu pekee iliyolilia point za mezani ili iwe bingwa ila ikaangukia pua! Na ndio timu pekee ambayo viongozi wake walitangaza kutembea uchi wa mnyama kama wasipochukua kombe lakini hadi sasa wamevaa nguo zao japo midomo imefungwa kimyaaaaaa! Wamekuwa wapole kama naniii
 
Kwan kufungwa na mbao ndo manake nn,..afu nani kakwambia tunashida na pesa,we kombe LA VPL Limekuuma sana,unakua kama mwanamke Malaya bana,
siku beba mbao halafu katisha mitaa ya jangwani utajua kwanini mbao walimaliza wanne ila wakapanda ligi kuu
 
siku beba mbao halafu katisha mitaa ya jangwani utajua kwanini mbao walimaliza wanne ila wakapanda ligi kuu

Sijakuelewa ata kidogo,we subir mwakan tena uchukui kombe ili,..wivu utakuua
 
Hapo kwenye namba 4 umesahau Mil 5 ya kombe la Mapinduzi

Vyovyote iwavyo na ushabiki pembeni, Simba ndio timu bora zaidi uwanjani kwa msimu wa 2016/2017. Takwimu hazidanganyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…