Mbabe wako anapokuwa kwenye interview pannel, imeshakutokea?

Mbabe wako anapokuwa kwenye interview pannel, imeshakutokea?

Kuna aliyekupa warning uachane na mke/mume wake, na wewe ulipandisha mabega. Sasa baada ya kuwa short listed kwenye interview unakutana nae tena yeye ndiye final say.

Yamesha kukuta?
Interview sio fumanizi Nikikutana nae fresh akikata jina langu kiwizi mke wake simuachi kamwe....
Ila kama mwenyewe najua kabisa kuwa interview nimezengua fresh.

NB:Tatizo ni pale ambapo anaamua kukuajili na mnajuana mnakula mbususu moja daaah mimi kazi sidhani kama naweza kusaini mkataba 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyo atajua kuheshimu vya watu siku nyingine hahahahaa
 
Hiyo kazi usipopata ujue amekuogopa , ila ukiipata asee usisaini huenda unavutwa karibu ili upigwe vizuri [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom