Interview sio fumanizi Nikikutana nae fresh akikata jina langu kiwizi mke wake simuachi kamwe....Kuna aliyekupa warning uachane na mke/mume wake, na wewe ulipandisha mabega. Sasa baada ya kuwa short listed kwenye interview unakutana nae tena yeye ndiye final say.
Yamesha kukuta?