Vingi tuNi lkipi walianzisha wakaweza ?
Changamoto ya maji na barabara wananchi wana ambiwa watoe mawazoLikija swala la kodi, they are very creative. Issue ndogo tu ya maji au barabara, utaona walivyo weupe..
Laki Saba nasikia!Wale wauza mashine watalala njaa
Tra na mamlaka zote Tanzania zinazohusika na makusanyo ya mapato hazijawahi kufanya jambo lolote kwa ufanisimfano mfumo wa tausi imani yangu ni kuwa ulilenga kuongeza ufanisi na urahisi kwa walipa tozo kodi na ushuru anuai,badala yake sasa ni mradi wa rushwa,ten per kwa wahusika wa mnyororo wa utoajihuduma.Kwa namna gani Mfumo wa tausi kupata leseni inahitaji baadhi ya hudumu kuwa na fire &safety cert. Ili uweze kufanya hatua inayofuatahatua ya kwanza unakwamishwa na mtoa fire&safety cert,kisa apate ama ten per ama naye apige deal na cert ya aliye kuwa tayari kufuata taratibu ili alipe tozo,shuru na matozo ya huduma.Sasa tunaenda wapi?
Katika kutekeleza mapendekezo ya kiutawala yaliyotolewa na Tume ya Rais ya Maboresho ya Mfumo wa Kodi, Serikali kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 imetangaza mfumo mpya wa urahisishaji wa utoaji risiti nchini.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) itatengeneza programu tumizi (application) maalum itakayofanya kazi kwenye simu za mkononi, vishikwambi (tablets), au kompyuta. Mfumo huu utatolewa bure kwa wafanyabiashara wote na utatumika kutoa risiti halali za kielektroniki, mbadala wa mashine za sasa za EFD.
"Na nane, TRA itatengeneza programu tumizi yaani 'Application' itakayotumika kwenye simu za mikononi, vishikwambi au kompyuta na kisha kutoa App hiyo bure kwa wafanyabiashara ili itumike kutoa risiti kama zile zinazotolewa na mashine za EFD."