Chukuwa lost report ya Police nenda shule uliyomaliza watakupa leaving certificate nyingine au tengeneza mwenyewe.Wakuu nimefatilia birth certificate wakaniuliza elimu nikawaambia form four, so wameniomba nipeleke copy ya leaving na nlikua nayo, Hila nimechek kila Kona sijaiona nadhani Kuna jinsi imeibiwa
So naomba kujua kama naweza kupeleka nini kama mbadala wa hiyo
Nimekuandikia kiutu uzima jiongeze, tarehe ya kuzaliwa inaangaliwa kwenye Nida na na birth certificateNi ghalama sana kufatilia nataka njue kama naweza kupeleka ya lasaba mana wanataka waone tarehe ya kuzaliwa
PhD katika ubora wako ,bora ungejiita kilaza matola(mh)Chukuwa lost report ya Police
Nimekuandikia kiutu uzima jiongeze, tarehe ya kuzaliwa inaangaliwa kwenye Nida na na birth certificate
Tengeneza hiyo living, umeelewa? Siyo Nacte hiyo.