Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Tangu kuupanda mpaka kuanza kuzaa unachukua muda gani?Ngoja nijaribu. Mti huu nimeupanda nyuma ya nyumba yangu na matunda yanaoza na kuanguka yenyewe!
Sijawahi kabisa kuliona hili tunda tanzania. Hivi linapatikana wapi?Basi nitakuwa na viagra ya kutosha mwilini maana haya makomamanga nimeyala na pia juisi yake nimekunywa sana
Hivi madukani kuna juice hii?:mwaaah:
Ngoja nijaribu. Mti huu nimeupanda nyuma ya nyumba yangu na matunda yanaoza na kuanguka yenyewe!
We mwali, unaitakia nini ati!
Tangu kuupanda mpaka kuanza kuzaa unachukua muda gani?
Hii itanipa muda wa kupanda na huku ninatafuta kimwana - lol.
Usinisahau katika Ufalme wako nayataka yakiwa origino Sikonge