Mbadala wa "Viagra" ni juisi ya kokomanga


Preta akisha meza hii mijuisi anajua mahali pa kunipata nilikwisha kumweleza........................[MENTION]Ndallu[/MENTION] hii kitu inakula pande zote haichagui dume au jike..........wote mkiitafuna mjue yenu mbaya...........
 
Last edited by a moderator:
hizi tiba kama huna ndude hazikuuhusu......tatizo linakuja pale ambapo ndude ipo na haipati huduma elekezi.....ndio swala zima la tiba linapotokea......
(
ndude zina balaaaa hizi ndude hizi)

Preta nayo ndude lazima iwe imelalamika ya kuwa haitoshelezwi.............
 
Last edited by a moderator:
Basi nitakuwa na viagra ya kutosha mwilini maana haya makomamanga nimeyala na pia juisi yake nimekunywa sana

kweli waathirika wa nguvu za kiume tuko wengi, mweeeeeeee!
 

na pia inatengeneza vitu vingi sana vya urembo....
nina mask moja imetengenezwa na kokomanga.....very nice......
 
Kwa michango yote hii kumbe nguvu za kiume kupungua ni janga la taifa. Kumbe ndiyo maana mashoga wanaongezeka kila kukicha? Jamani hivi dada zetu/wake zetu na mama zetu watakimbilia wapi kupata huduma ile muhimu kama hali ndiyo hii?
 
kuna utafiti wowote hapo au yaleyale ya loliondo!
 
Tangu kuupanda mpaka kuanza kuzaa unachukua muda gani?
Hii itanipa muda wa kupanda na huku ninatafuta kimwana - lol.
Ukiuwekea mbolea na maji ya kutosha, miezi 6 hadi 8 unaanza kutoa matunda!
 
jibaba lizima linatoa michozi kisa ndude.....ha ha ha.....wanaume sijawahi kuwaweza...hakya mama.....


Kwani nyie kina mama huwa hamliliii? Mbona unatusingizia Preta! Uzoefu wangu nyie ndo wenyewe kwa kulilia...usibishe asije jamaa yako akasikia akampa shoga yako ukaanza kulia,lol!
 
Kwani nyie kina mama huwa hamliliii? Mbona unatusingizia Preta! Uzoefu wangu nyie ndo wenyewe kwa kulilia...usibishe asije jamaa yako akasikia akampa shoga yako ukaanza kulia,lol!

na wakati mwingine wanatushinikiza tufanye
[h=1]Penis enlargement[/h]


Penile enlargement procedures are designed to increase the size of the cavernous cylinders of the penis or to stimulate blood flow to increase hardness.
 
Kazini, mashuleni, kwenye mabar na kumbi za starehe, gym, uchochoroni...you name it. Na ni wake kwa waume wote wanahangaikia kitu ile ile

Ndahani kama ni hivyo nimebaki pekee yangu ambaye hiyo kitu siihangaikii.......................
 
Last edited by a moderator:

Umegundua imepata washabiki wengi eeeh, tena wake kwa waume. Sishangai kuona matangazo ya wataalumu kila kona za mijini kutibu tatizo hilo,lol!
 
Sasa kwani kuna nguvu za kike?
Mie najua kuna nguvu za kiume tu,nipe darasa mkuu
OTIS

Mkuu kula na shemeji yetu:
it is also produced in female adrenal glands and ovaries, raising a woman’s sex drive and strengthening bones and muscles.
 
khe walimu wamekuwa wengi humu mpaka sielewi kabisaaa.juice za box hazifai kwa matumizi ya binadamu chazo mzizimkavu af rutashubanyuma anataka waburudishaji watumie usije ukatuulia vijana wa kazi bureee.tumieni natural ila msizidishe mnaboaga mnapongangania nyavuni wakati tayari mabao yashaingia kama mvua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…