Mbadala wa vumbi la mkongo huyu hapa

Sasa mbona wanajikomoa wenyewe..!!

Huwezi kushindana na walipotoka, kama sehemu ilipitishwa bichwa lake ndo ataweza kushindana napo?
Wanashindana na walipotokaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜!
 
Mambo yakujaribu jaribu vitu hayo ,nimeshatumia makorokoro mengi sana .
Viksi sio kitu kizuri aisee, haufurahii kabisa.

Korokoro lipi angalau ni bora mkuu
 
Reactions: EEX
Viksi sio kitu kizuri aisee, haufurahii kabisa.

Korokoro lipi angalau ni bora mkuu
Bora nguvu zako za asili au kidogoo fantasia huyo au kombucha picha la masai .Ila viksi mziki mwingine siku 3 sawa na masaa 72 wazungu hawaonekani wamepoteaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Eee ndiwoo 😹

Mapenzi ni burudani, sasa kama yanafanywa ya kukomoana hilo ni tatizo la akili..!!
Tatizo la akili ndiyo.
Kama ni afya, nini huwa kinawaliza baadhi ya wanaume kwenye tendo?
 
Hapana dada sio poa huyu mama ni mama kama wewe deal na uyo kijana moja kwamoja wacha mama ake hata hajui JF
Mpuuzi anapenda kuniletea mazoea ya kijinga..!!

Mi sio mataahira wenzie anayotaniana nayo humu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…