Nadhani cha muhimu ni kujua ni vitugani unatakiwa kusaidiwa na Real Estate then unakwenda kwao kuwapa offer yako ila unatakiwa kufahamu ni kwanini unakwenda kwa Real Estate na unategemea huduma gani. Fahamu procedures then nenda wakusaidie, Ukianza kuuliza kama ni real aur feck tutakudanganya. nenda wakupe mfano wa kazi walizo fanya then kama unataka uhakika tafuta hao wateja ongea nao pata uhakika then BOOOMMM u get to know if they are real of not.