Mbagala Chamazi kuna nyomi la watu, kumekuwa na fursa nyingi za biashara

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
262
Reaction score
577
Kuna wimbi kubwa la wafanyabiashara na biashara kwa ujumla kwa maeneo ya Mbagala kata ya Chamazi: Hii ni kutokana na nyomi la watu:

Siku hizi kumekuwa na biashara nyingi sana, sasa kwa anaeogopa kuanza biashara Mbagala fursa ndo hiyo…

Tafuta sehemu ambazo mji umekuwa
 
Kama kweli wewe ni mfanyabiashara na pia una jicho la biashara ukishaambiwa tu kuwa sehemu fulani pana watu wengi basi huwezi kuuliza biashara inayolipa maana biashara zinazolipa ni nyingi hivyo ni swala la wewe na uchaguzi wako wa biashara ya kufanya na mtaji wako tu
 
Kama kweli wewe ni mfanyabiashara na pia una jicho la biashara ukishaambiwa tu kuwa sehemu fulani pana watu wengi basi huwez kuuliza biashara inayolipa maana biashara zinazolipa ni nyingi hivyo ni swala la wewe na uchaguzi wako wa biashara ya kufanya na mtaji wako tu
Biashara gani inaweza kuwa inalipa huko mkuu
BIASHARA AMBAZO WATU WA MAENEO HAYO WANAFANYA NA WANA PATA PESA VIBAYA MNO NI HIZI:
1:KUKUNA NAZI KWA KUTUMIA MASHINE
2:KUUZA PWEZA NA VIKOROKORO VYAKE MAANA WATU WANAOSHUKA NI WENGI SANA KWAHIYO KABLA YA SAA 3 we ushamaliza mzigo
3:KUUZA VIATU NA VIJORA
4:SALOON ZOTE
5:KUUZA JEZI SIKU ZA MPIRA
6😛OMBE NA KUMBI ZA SHUGHULI
7:KUUZA MISHKAKI NA NDIZ
8:KUUZA gEnge
9:kufungua twisheni maana watoto ni wengi
10.STESHENARI
11:KIBANDA CHA KUCHA
12:VIPODOZI
13:KUUZA MUVI
 
Kama kweli wewe ni mfanyabiashara na pia una jicho la biashara ukishaambiwa tu kuwa sehemu fulani pana watu wengi basi huwez kuuliza biashara inayolipa maana biashara zinazolipa ni nyingi hivyo ni swala la wewe na uchaguzi wako wa biashara ya kufanya na mtaji wako tu
Wengine hatujawahi fanya biashara mkuu ila tunatamani kufanya ili kujinasua na hivi vyuma
 
BIASHARA AMBAZO WATU WA MAENEO HAYO WANAFANYA NA WANA PATA PESA VIBAYA MNO NI HIZI:
1:KUKUNA NAZI KWA KUTUMIA MASHINE
2:KUUZA PWEZA NA VIKOROKORO VYAKE MAANA WATU WANAOSHUKA NI WENGI SANA KWAHIYO KABLA YA SAA 3 we ushamaliza mzigo
3:KUUZA VIATU NA VIJORA
4:SALOON ZOTE
5:KUUZA JEZI SIKU ZA MPIRA
6😛OMBE NA KUMBI ZA SHUGHULI
7:KUUZA MISHKAKI NA NDIZ
8:KUUZA gEnge
9:kufungua twisheni maana watoto ni wengi
10.STESHENARI
11:KIBANDA CHA KUCHA
12:VIPODOZI
13:KUUZA MUVI
Shukran sana mkuu
 
Kuna biashara na ujasiliamali sasa hizo hapo ni ujasiliamali sio biashara hizo

Machinga au mama ntilie au muuza chips muosha miguu hao ni wajasiliamali sio wafanya biashara

Sijaongea kudhalau ila nmetoa angalizo tu
 
Ungeee kimya tu mkuu, tehe tehe, kwa akili zako Ujasiriamali ni biashara ndogondogo na Biashara ni zile biashara kubwa?

Kama ndivyo umefundishwa rudi sehemu ulijifunzia waambia wakurudishie ada yako
 
Yuko sahihi
Ujasiriamali kwa tafsir nyingine ni kukiongezea kitu thamani

Mfano mtu mwenye Bar akiuza soda 1000/Huo ni Ujasiriamali coz mpaka anauza soda 1000 Mandhari ya eneo lake linashawishi

Ukija kwa hawa wauza pweza , kuku mishkak hata wanao weka movie kwenye flash
Wanafanya kitu hicho hicho kuongeza thamani kwenye bidhaa husika
 
Back
Top Bottom