Mbagala kulamba asali kesho, kuanza kutumia mabasi ya mwendokasi

Lakini Barabara hazijatengenezwa kwa kiwango Cha juu kama za Ubungo maji- kariakoo,hizi za mbagala nothing na inasemekana mama hajatoa ela ndo maan zinajengwa nusu nusu na bila standard nzuri hata fly over ya uhasibu nayo haiko poa Kama Tazara
 
Hii ya uhasibu ni ya ajabu nadhani haitakuwa na taa. Standard yake ya ovyo. Sijui labda ni gharama ndogo

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] eti kulamba asali daaah
 
Sasa ndio nini hivi..show off tu shida bado ipo palepale wangesubiri kwanza phase ikamilike mpaka mjini
 
Lakini Barabara hazijatengenezwa kwa kiwango Cha juu kama za Ubungo maji- kariakoo,hizi za mbagala nothing na inasemekana mama hajatoa ela ndo maan zinajengwa nusu nusu na bila standard nzuri hata fly over ya uhasibu nayo haiko poa Kama Tazara
Wakanjanja waliuzoom mradi ule wa phase one uliojengwa na kampuni ya ulaya ya Starbag wakaona ahh kumbe ni rahisi namna hii,wakapeana tenda za kishkaji matokeo yake ndio haya kipindi wanafanya ujenzi walikuwa rough rough nikawa najisemea hapa lazima tutie aibu
 
Wananchi wa Mbagala Rangi Tatu Kesho mtaanza rasmi kutumia mabasi ya mwendokasi kutoka Mbagala Hadi viwanja vya Sabasaba yanapofanyika maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Dar es Salaam.
Mbagala Kiburugwa tunalamba asali
 
Back
Top Bottom