Mbagala Mbande

Mkuu kwa sehemu kama mbande fursa zipo nyingi sana.
Maana watu wengi kule huduma nyingi hufuata rangi tatu au gerezani na tandika.
Biashara ya kwanza ni
Photoshop studio
Duka la simu
Stationary + Internet cafe
Hardware.
Kwa uchache tu
 
Vyote vipo hapo mbande mkuu.....au hujafika kitambo...!!!
Mpaka Photosho mkuu
 
Yale maeneo kila biashara inakubalika tu ni ww na mtaji wako tu
 
watoto wa watu wanapotea na kuharibika kwa kila namna hakuna dhambi isofanyika kwenye madanguro
Kabisa Mkuu, japo ni biashara yenye hela nzuri sana ukifanya.

Unakuwa unakusanya hela japo shilingi elfu 50 Kwa Kila kichwa, wewe kazi yako ni kuwapa Vyumba Kila mmoja pamoja na huduma ya Ulinzi tu 😜
 
Kabisa Mkuu, japo ni biashara yenye hela nzuri sana ukifanya.

Unakuwa unakusanya hela japo shilingi elfu 50 Kwa Kila kichwa, wewe kazi yako ni kuwapa Vyumba Kila mmoja pamoja na huduma ya Ulinzi tu 😜
Daaah balaa tupu xana inahitaji roho ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…