Mbakaji wa binadamu na wanyama achomwa moto hadi kufa na wananchi wenye hasira

Mbakaji wa binadamu na wanyama achomwa moto hadi kufa na wananchi wenye hasira

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Wananchi wenye hasira wa kijiji cha Moore huko Kaunti ya Nyandarua wamemuua mwanaume mwenye miaka 30 aliyekuwa anatuhumiwa kumbaka msichana akiwa nyumbani kwake kwa kumchoma moto

Wakazi hao walisema mwanaume huyo anafahamika kwa sifa mbaya ya ubakaji alienda nyumbani kwa msichana huyo akijidai kuomba maji kisha kumbadilikia

Kelele za kuomba msaada za msichana huyo ziliwashtua majirani ambao waliitikia mwito wa kwenda.

Mwanaume huyo alipoona siku yake ya 40 imefika alijaribu kukimbia, hata hivyo alikamatwa na kuchomwa moto kwa mafuta yaliyotolewa na madereva wa bodaboda

Wenyeji wa eneo hilo wanasema mwanaume huyo alikuwa ameshawabaka wasichana kadhaa kipindi cha nyuma na tukio la karibuni ilikuwa ni kumbaka bibi wa miaka 95

Pia anatuhumiwa kufanya mapenzi na mifugo ya watu kama kondoo, mbuzi na ndama

==========================================================
Screen-Shot-2018-01-10-at-3.44.50-PM.png


Angry residents of Kiboore village in Kinangop, Nyandarua County on Wednesday killed a 30-year-old man who was allegedly found raping a girl at her home.


According to the residents, the man, commonly known as Kihunyu, was a notorious rapist and had gone to the girl’s home pretending to ask for water, only to turn on her.

Cries for help from the girl alerted the neighbours who swiftly responded to the distress call, and on realising that the proverbial 40th-day had finally come, the man decided to flee.

However, the angry locals who were baying for his blood caught up with him and set him on fire using fuel offered by boda boda riders.

The girl was reportedly alone in the house when the man committed the heinous act.


According to locals, the man had previously raped several young girls and women with the most recent incident occurring last month where he raped a 95-year-old granny.


The man is also alleged to have committed beastiatility, ‘devouring’ people’s sheep, cows, calves


Source: Citizen Tv
 
Back
Top Bottom