Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu tunaangalia mechi commentators waarabu sembuse hao kina Pogba!!😃Canal ingawa Tz tunaibia pia haina kigalatia ni mwendo wa Kipaul Pogba tu.
Tumia canal kifurushi cha 42000 unaangalia ligi zote tano kubwa duniani.Maana nataka Kufungua kibanda umiza nikiangalia Bei ya Vifurushi vya DStv naona kabisa Sitatoboa kwa Location niliyoko
Kumbe wana wana option B, mimi nateseka tuTumia canal kifurushi cha 42000 unaangalia ligi zote tano kubwa duniani.
Napataje hiki king'amuziCanal Sport. Utaangalia makombe mbalimbali isipokuwa FA ya England.
Bei ya kifurushi ni kama elfu 36 kwa mwezi.
Ving'amuzi hivi vinatokea Burundi
Nitafute dmNapataje hiki king'amuzi