LGE2024 Mbalizi: Polisi washindwa kuzuia Uzinduzi wa kampeni za Chadema, Nguvu ya umma yawazidi ubavu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Polisi waliotumwa na ccm kama wafanyavyo siku zote, leo wameshindwa kufurukuta baada ya kujaribu kuzuia mkutano halali wa Chadema kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za Mitaa bila mafanikio

Kutoboka kwa mbeleko ya Polisi kulisababishwa na uimara wa wananchi kupinga mkutano huo kuzuiwa.

Screenshot_2024-11-20-21-56-54-1.png
Screenshot_2024-11-20-22-54-22-1.png

#WATAKE WASITAKE
 
Kutoboka kwa mbeleko ya Polisi kulisababishwa na uimara wa wananchi kupinga mkutano huo kuzuiwa
Tuli kwisha imba wimbo huu mara ngapi humu JF..., kwamba ni wananchi pekee ndio wenye uwezo wa kumuadabisha mpumbavu yeyote aliye lewa madaraka.
Huu mpango wa kufanya kazi na wananchi tukahimiza uanze tokea 2020!

Hata hivyo siyo shida, CCM wenyewe wamesaidia sana kuwafundisha wananchi uhitaji wa wao kujitambua, hata bila ya msaada wa kuwapanga vizuri waikamilishe kazi muhimu.

Natumaini mnaona na kutambua mnacho takiwa kukifanya mkitumia huu uchafuzi wa Mchengerwa kufanya kazi stahiki inayo fuata 2025. Hii iwe ni maandalizi tu ya 2025 kumaliza kazi.
 
Hakika
 
Polisi waliotumwa na ccm kama wafanyavyo siku zote, leo wameshindwa kufurukuta baada ya kujaribu kuzuia mkutano halali wa Chadema kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za Mitaa bila mafanikio

Kutoboka kwa mbeleko ya Polisi kulisababishwa na uimara wa wananchi kupinga mkutano huo kuzuiwa.

View attachment 3157193View attachment 3157194

#WATAKE WASITAKE
Wananchi sasa wameanza kujitambua💪🏿💪🏿💪🏿
 
Kwani huko Mbalizi mna wagombea ? Au mnawapigia kampeni ACT ? 😏
 
Tuli kwisha imba wimbo huu mara ngapi humu JF..., kwamba ni wananchi pekee ndio wenye uwezo wa kumuadabisha mpumbavu yeyote aliye lewa madaraka.
Huu mpango wa kufanya kazi na wananchi tukahimiza uanze tokea 2020!

Hata hivyo siyo shida, CCM wenyewe wamesaidia sana kuwafundisha wananchi uhitaji wa wao kujitambua, hata bila ya msaada wa kuwapanga vizuri waikamilishe kazi muhimu.

Natumaini mnaona na kutambua mnacho takiwa kukifanya mkitumia huu uchafuzi wa Mchengerwa kufanya kazi stahiki inayo fuata 2025. Hii iwe ni maandalizi tu ya 2025 kumaliza kazi.
Wananchi sasa wameanza kujitambua💪🏿💪🏿💪🏿
Wamanchi wengi zaidi tayari walishajitambua tangu zamani, isipokuwa tatizo ni kwamba Wananchi hao wamekosa kabisa Makamanda wa kuweza kuwaongoza vizuri katika kupigana vita kwenye medani za kivita. Hilo ndilo tatizo lililopo, endapo kama watapatikana Makamanda wazuri, waadilifu, waaminifu na wenye dhamira za dhati kabisa mioyoni mwao, basi vita iliyopo mbele yao watashinda kiurahisi Sana na tena watashinda mapema kabisa bila ya kupoteza muda kwa sababu uzoefu kutoka duniani kote inaonyesha kwamba umma haujawahi kushindwa jambo.
 
Polisi waliotumwa na ccm kama wafanyavyo siku zote, leo wameshindwa kufurukuta baada ya kujaribu kuzuia mkutano halali wa Chadema kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za Mitaa bila mafanikio

Kutoboka kwa mbeleko ya Polisi kulisababishwa na uimara wa wananchi kupinga mkutano huo kuzuiwa.

View attachment 3157193View attachment 3157194

#WATAKE WASITAKE
Andika hapo polisi wanatumika kiboya sana
 
Attachments

  • FB_IMG_1732110884864.jpg
    FB_IMG_1732110884864.jpg
    18.3 KB · Views: 3
Wamanchi wengi zaidi tayari walishajitambua tangu zamani, isipokuwa tatizo ni kwamba Wananchi hao wamekosa kabisa Makamanda wa kuweza kuwaongoza vizuri katika kupigana vita kwenye medani za kivita. Hilo ndilo tatizo lililopo, endapo kama watapatikana Makamanda wazuri, waadilifu, waaminifu na wenye dhamira za dhati kabisa mioyoni mwao, basi vita iliyopo mbele yao watashinda kiurahisi Sana na tena watashinda mapema kabisa bila ya kupoteza muda kwa sababu uzoefu kutoka duniani kote inaonyesha kwamba umma haujawahi kushindwa jambo.
Ndiyo maana huwa sikubaliani na mtu yeyote anaye sema waTanzania ni wajinga/wapumbavu/wazembe/wavivu, n.k., n.k.
Upumbavu ni kutoelewa wanacho taka waTanzania.
 
Polisi waliotumwa na ccm kama wafanyavyo siku zote, leo wameshindwa kufurukuta baada ya kujaribu kuzuia mkutano halali wa Chadema kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za Mitaa bila mafanikio

Kutoboka kwa mbeleko ya Polisi kulisababishwa na uimara wa wananchi kupinga mkutano huo kuzuiwa.

View attachment 3157193View attachment 3157194

#WATAKE WASITAKE
Tuna polisi ya kijinga sn
 
Sugu yupo? Maana Lissu hamkubali kabisa anasema kavuta mpunga
 
Back
Top Bottom