Wasifie hadi mwishoMbao wanacheza kwa umoja sana, wachezaji wote wanapanda na kushuka
Mpira ukirudi eneo lao kushambulia wanashuka wote kukaba, nimependa hii spirit yao
Kakosa tenaMoloko anakosa goli
Kafinywa akapitilizaKateleza
Hana machoKakosa tena
Itawagharimu hiyo.Mbao wanacheza sana rough
Mapema sana kutoa malalamiko, tulia gemu iishe huwenda wapo wabovu wengine wengi ila hatuja waona kwasababu hawajapata bahati ya kupata mpira katika nafasi nzuriUbunifu umepotea pale kati... Mauya ni mzigo wa mwiba ukiubeba unaumia
Kuna goli hapa.39'
Yanga inapata kona