AwapiKuna goli hapa.
Ila ilikua fasta sana ndo maana akaoffer konaKuna mwamba kashika pale ila refa hajaona
Itashinda tu ni swala la Muda.Awapi
Kafungwa au??Yanga hakuna timu ni vile tu bado hajatembea sana mikoani kwenye viwanja vyenye kinyaa hata chichidodo tu hatui
Hahahahah hataamini vile atafukuzwa kama jambazi la karne amuulize metachaHuyu kipa anawajua wananchi au anawasikia?
0 0Ngapi huko
bado hawajafungwaKafungwa au??