Mbao fc 0 vs 1 Yanga | ASFC | Kirumba Mwanza

Mie naona kipindi cha pili Nabi awaingize Mayele, Moloko na Bangala ikiwezekana na yule golikipa wetu aliyekuwa Cameroon akidaka kwenye AFCON ili aje kudaka penalt.
 
dakika ya 52' pasi ya moloko inafanikiwa kumfikia kipa wa mbao vilivyo kabisa
 
Dakika ya 53 mayele anaiongozea yanga kwa kuipatia bao la kichwa hapa
 
Manara na hersi wamwrudia ile tabia yao waliyoifanya kule zenji

Wanapapasana uwanjani live bila kuhofia camera
 
Yassin mustafa anapiga mkuki hatari ila golikipa anakaa imara zaidi
 
Naam lango la mbao linazidi kukamiwa zaidi na sasa mashambulizi yote yanachezwa kwenye eneo lao, mpira haujavuka katikati ya uwanja
 
Hawa mbao wa sasa hivi ni kama sio wale waliocheza kipindi cha kwanza
 
Ngoja tuone maana ni eneo la hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…