Mbao fc 0 vs 1 Yanga | ASFC | Kirumba Mwanza

Umeongea kushabiki sana haya mkuu endeleeni na mbinu za mwalimu wenu kama hujui kazi ya straika ni sawa kusema Van nistelrooy na philipo Inzaghi walikuwa wanafunzi waliofaulu kwa kuigizia (waviziaji) Nyie mpaka sasa mnaukame wa magoli mnashangalia hata mkipewa penati lakini bado mnakosa penati zenyewe halafu unakuja kuongea pumba eti Mayele anafunga magoli ya kuvizia na nyie hamtaki magoli ya dizaini hiyo.
 
Ilikuwa ngapi ngapi wakuu??

Mbona mmeondoka kimya kimya wakati sisi wengine tunatumia freebasics??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…