Mbao FC na Mwadui FC.. Tunakuja Kuchukua Point Zetu 6.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Baada ya 'timu bora kwa sasa nchini Tanzania' Simba SC kupunguzwa kasi na Ndada, leo itakua angani kuelekea kanda ya ziwa lengo likiwa ni kuchukua point zake 6.
Simba SC akiwa kanda ya ziwa atacheza mechi zifuatazo;

Mechi: Mbao FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kirumba, Mwanza
Tarehe: 20/09/2018.

Mechi: Mwadui FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kambarage, Shinyanga.
Tarehe: 22/09/2018

Simba SC akiwa na point zake 6 mfukoni alizozipata kanda ya ziwa, 27/09/2018 atacheza dhidi ya Biashara United katika dimba laTaifa Stadium, tarehe

Baada ya gemu hiyo kinachofuata, ni ile 'sikukuu' yetu dhidi ya Ndala. Naamini kama jamaa hawatagoma kuingiza timu siku hiyo, basi baada ya Dk. 45 hawatarudi uwanjani.

"Jamani Eeeeeh.. huyu Mnyama kashajeruhiwa, na sote tunajua Simba akijeruhiwa kipi kinafuata.. Natanguliza pole zangu za dhati kwa timu zote (hasa hasa Ndala) zinazoenda kukutana nae kuanzia hivi sasa" - Sembo

Nikiripoti toka Julius Nyerere International Airport.. Ni Mimi Sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
 
Vyura mtakoma siku hiyo...
FB_IMG_1537170073911.jpg
 
Mkuu sina hiyo tabia.. Tutakua hapa hapa hadi Mnyama atakapokabidhiwa kombe lake mwakani mwezi wa kwanza mwishoni au wa 2 mwanzoni.
Ubingwa wa mwaka huu sahauni, ni Azam au Yanga
 
ANGALIZO: Haruna Niyonzima na Juuuuurko Murshid nao wamo katika safari hii.
 
Baada ya 'timu bora kwa sasa nchini Tanzania' Simba SC kupunguzwa kasi na Ndada, leo itakua angani kuelekea kanda ya ziwa lengo likiwa ni kuchukua point zake 6.
Simba SC akiwa kanda ya ziwa atacheza mechi zifuatazo;

Mechi: Mbao FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kirumba, Mwanza
Tarehe: 20/09/2018.

Mechi: Mwadui FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kambarage, Shinyanga.
Tarehe: 22/09/2018

Simba SC akiwa na point zake 6 mfukoni alizozipata kanda ya ziwa, 27/09/2018 atacheza dhidi ya Biashara United katika dimba laTaifa Stadium, tarehe

Baada ya gemu hiyo kinachofuata, ni ile 'sikukuu' yetu dhidi ya Ndala. Naamini kama jamaa hawatagoma kuingiza timu siku hiyo, basi baada ya Dk. 45 hawatarudi uwanjani.

"Jamani Eeeeeh.. huyu Mnyama kashajeruhiwa, na sote tunajua Simba akijeruhiwa kipi kinafuata.. Natanguliza pole zangu za dhati kwa timu zote (hasa hasa Ndala) zinazoenda kukutana nae kuanzia hivi sasa" - Sembo

Nikiripoti toka Julius Nyerere International Airport.. Ni Mimi Sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
Umenifurahisha hapo uliposema baada ya dk 45 hawatarudi. Historia iliyopo ni kwamba Simba walishawahi pigwa 3 kipindi cha kwanza na Ndala kisha wakaingia mapumziko. Kipindi cha pili Yanga wamerudi uwanjani wanapasha pasha kidogo Mara paap! Simba wanarudi na nguo za nyumbani na washagomea kuendelea hukohuko vyumbani kwa kuhofia fedheha zaidi. Wenye kumbu kumbu nzuri na hili watueleze
 
-Mwaka 2007 kwenye mashindano ya Club Bingwa Africa Mashariki nakumbuka Yanga ilikimbia hata uwanjani hawakuonekana.
-Mwaka 2018 kwenye mashindano hayohayo Yanga na Simba walipangwa kundi 1. Nadhani hapa unakumbuka kilichomuokoa Yanga ni mbio [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ushabiki wa kipuuzi kiasi hiki ndio uliosababisha nikaacha kabisa kushabikia mpira wa Tanzania Iwe klabu au Taifa Stars
 
Back
Top Bottom