Mbao FC na Mwadui FC.. Tunakuja Kuchukua Point Zetu 6.

kila mtu anajua simba ndo club bora kabisa tanzania na ni moja ya club bora duniani.
 
mkuu maendeleo ya uwanja huko bunju vipi? mlisema mtapeleka media vipi mlifanikiwa kupeleka? kapicha itakuwa sio mbaya
 
Asee hivi kutokuja uwanjani na kuja halafu mkong'oto ukikolea unakimbia katikati ya pambano kipi ni kituko kikuu zaidi[emoji2] [emoji2] yaani kocha anawaambia kipindi cha pili tumieni mbinu hii na hii halafu wachezaji wanamwambia ile hali siyo, sisi haturudi uwanjani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kanda ya ziwa mtarudi na Pointi zisizozidi tatu
 
kila mtu anajua simba ndo club bora kabisa tanzania na ni moja ya club bora duniani.
Iangalie kwenye viwango vya club bora Africa. Wakimzidi Azam Mimi kuanzia Leo sitaamini tena kwamba Simba ni Mbumbumbu FC
 
Yanga wasipokula tano siku hiyo natembea uchi ubungo mpaka kariakoo
Hahaha.. Mkuu hizo 5 sidhani kama zitafika.. Maana za chinichini, jamaa wanapanga kutoingiza timu uwanjani.
 
Ushabiki wa kipuuzi kiasi hiki ndio uliosababisha nikaacha kabisa kushabikia mpira wa Tanzania Iwe klabu au Taifa Stars
Mkuu bado tunakuhitaji, usitukimbie. Labda nikuambie tu, sasa mambo yamebadilika toka uache kushabikia soka la Tanzania.. Simba SC tumeimarika mara dufu. Jaribu kuifatilia, then utaona kuna mambo yanakupita.
 
Kagere viwanja vya mikoani anasema vibovu
Mlianza hivi hivi kwa Okwi, mwisho wa siku akawa mfungaji bora.. Sasa Mkuu tukutane hapa hapa baada ya gemu ya Mwadui ili tupeane tathmini ya MK14 akiwa kanda ya ziwa.
 
Kwa mdomo hamjambo, issue ipo kwenye idadi ya makombe.
Msimu ulipoita tumechukua makombe 2.. Ligi kuu na FA.. Msimu huu tumeanza na Ngao ya Jamii.. Then makombe 3 (ligi, FA na Muungano) yakifuata huku katika katika ile michuano tutakayoshiriki mabingwa tu katika bara hili la Africa, kama ikitokea tumefanya vibaya (japo hiki kitu hakipo) tutaishia hatua ya makundi.
 
mkuu maendeleo ya uwanja huko bunju vipi? mlisema mtapeleka media vipi mlifanikiwa kupeleka? kapicha itakuwa sio mbaya
Mkuu mambo yanaenda kama yalivyopangwa.. Vita subira.
 
Mkuu, yaliyotokea Ntwara kwa Ndanda FC, kufungwa na Simba miaka yote isipokuwa juzi bado haijakusaidia angalau kuwa objective?

Vv
 
Mkuu, yaliyotokea Ntwara kwa Ndanda FC, kufungwa na Simba miaka yote isipokuwa juzi bado haijakusaidia angalau kuwa objective?

Vv
Mkuu tangu dunia hii iumbwe, hakuna klabu yoyote iliyowahi kuchukua ubingwa kwa kushinda mechi zote (lazima idroo hata menchi moja).. Simba SC ni nani mpaka asidroo?!
Kwa maelezo zaidi pitia hapa: Chemsha Bongo.. Mshindi Kujinyakulia Kitenge toka Nchini Kongo. - JamiiForums unaweza jinyakulia kitenge.
Lakini hii sababu ya kutuzuia kuchukua point zetu 6 kanda ya ziwa. Point hizi 6 tuna kazi nazo.. Itabidi Mbao na Mwadui watusamehe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…