Mbao Fupi za dawa fut12 /2x4@7500 na 2x2@4000

kasuku mtu

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
321
Reaction score
94
Tunauza mbao fupi za dawa zenye kudumu kwa muda mrefu na zisizo weza kushambuliwa na wadudu waalibifu
Pia itakuepusha na utapeli wa futi kwani mbao hizi ni bora sawa na zile ndefu za kupima tofauti ni vipimo vya urefu hizi tulizo nazo ni standard size ambayo ni futi 12.

kwa kufanyia bandal ya selingbod na gepsam kupaua kwa ghalama ndogo unaweza kufanikisha ujenzi wa kudumu wa mabanda imara ya mifugo mbali mbali pasipo wadudu kushambulia mbao


Haitaji kupima

2×2@4000
2×4@7500
1×8@14500
1×10@18500

Misumali ya aina zote na bati aina zote zinapakana.

Kwa mawasiliano 0715426668 pia whatsapp pia tunaweza kukuletea mpaka site
Huduma kwa wateja wa dar es salaam tu
 

Attachments

  • 17360520_10207054281909105_787642288_n.jpg
    57.8 KB · Views: 94
  • 17391936_10207054274388917_2118906562_n.jpg
    76.2 KB · Views: 80
  • 17410121_10207054276108960_149574951_n.jpg
    69.8 KB · Views: 77
  • 17410414_10207054283069134_2023787840_n.jpg
    51.1 KB · Views: 81
  • 17440258_10207054273908905_1409184005_n.jpg
    79.4 KB · Views: 79
  • 17439502_10207054281629098_972377589_n.jpg
    75.8 KB · Views: 77
  • 17410108_10207054281389092_1017435103_n.jpg
    70.2 KB · Views: 80
  • 17360850_10207054371831353_2058631987_n.jpg
    12.6 KB · Views: 63
  • 17440416_10207054276948981_1692229042_n.jpg
    94.9 KB · Views: 82
  • 17410394_10207054372031358_807475224_n.jpg
    83.6 KB · Views: 66
Mnapatikana Dar sehemu gani? Mbao zenu ni za mti gani? Au mnazichukua wapi?
 
Mnapatikana Dar sehemu gani? Mbao zenu ni za mti gani? Au mnazichukua wapi?
Mbao ni cyplas tunachukulia mafinga tunapatikana buguruni na kinyerezi dar es salaam
 
Mbao ni cyplas tunachukulia mafinga tunapatikana buguruni na kinyerezi dar es salaam
Tumezoea kununua kwa ft, taja bei kwa ft upate wateja maana naona bei iko chini kidogo na ya sokoni. Nitakutafuta wkiend
 


Mkuu na mbao za mlingoti unachukuaga Mafinga? ,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…